Sehemu za Mpango

Kwenye Moduli ya Kubuni, , ulibuni Nadharia ya Mabadiliko (ToC) ya mradi wako kisha ukabuni shughuli zako mahususi kulingana na ToC na visababishi ulivyobainisha wakati wa  awamu ya Kukadiria. Ulisoma pia baadhi ya mifano ya sehemu za mpango ambazo zinaweza kushughulikia visababishi ulivyobainisha. Kwenye moduli hii, tutaangazia uchunguzi kifani unaoonyesha jinsi mradi wa P/CVE hutekelezwa. Uchunguzi huu kifani unaonyesha mfano mmoja tu wa sehemu ya mpango wa P/CVE uliobainishwa na CSO tuliyoshauriana nayo. Unaweza kupata orodha kamili ya sehemu za mpango hapa chini.

Title
doc
Sehemu za Mpangilio wa Mpango wa P/CVE